Dan. 2:11 SUV

11 Ni neno la ajabu, hili analolitaka mfalme, wala hapana mwingine awezaye kumwonyesha mfalme neno hilo, ila miungu, wasio na kikao pamoja na wenye mwili.

Kusoma sura kamili Dan. 2

Mtazamo Dan. 2:11 katika mazingira