Dan. 2:25 SUV

25 Ndipo Arioko akamwingiza Danieli mbele ya mfalme kwa haraka, akamwambia hivi, Nimemwona mtu wa hao wana wa Yuda waliohamishwa, atakayemjulisha mfalme ile tafsiri.

Kusoma sura kamili Dan. 2

Mtazamo Dan. 2:25 katika mazingira