Dan. 2:42 SUV

42 Na kama vidole vya zile nyayo vilikuwa nusu chuma na nusu udongo, kadhalika ufalme ule utakuwa nusu yake una nguvu, na nusu yake umevunjika.

Kusoma sura kamili Dan. 2

Mtazamo Dan. 2:42 katika mazingira