Dan. 2:44 SUV

44 Na katika siku za wafalme hao Mungu wa mbinguni atausimamisha ufalme ambao hautaangamizwa milele, wala watu wengine hawataachiwa enzi yake; bali utavunja falme hizi zote vipande vipande na kuziharibu, nao utasimama milele na milele.

Kusoma sura kamili Dan. 2

Mtazamo Dan. 2:44 katika mazingira