Dan. 2:47 SUV

47 Mfalme akajibu, akamwambia Danieli, Hakika Mungu wenu ndiye Mungu wa miungu, na Bwana wa wafalme, awezaye kufumbua siri, kwa kuwa wewe uliweza kuifumbua siri hii.

Kusoma sura kamili Dan. 2

Mtazamo Dan. 2:47 katika mazingira