13 Basi Nebukadreza akatoa amri kwa hasira na ghadhabu, waletwe hao Shadraka, na Meshaki, na Abednego. Basi wakawaleta watu hao mbele ya mfalme.
Kusoma sura kamili Dan. 3
Mtazamo Dan. 3:13 katika mazingira