Dan. 3:25 SUV

25 Akajibu, akasema, Tazama, mimi naona watu wanne, nao wamefunguliwa, wanatembea katikati ya moto hali hawana dhara; na sura yake yule wa nne ni mfano wa mwana wa miungu.

Kusoma sura kamili Dan. 3

Mtazamo Dan. 3:25 katika mazingira