Dan. 4:12 SUV

12 Majani yake yalikuwa mazuri, na matunda yake mengi, na ndani yake chakula cha kuwatosha watu wote; wanyama wa kondeni walipata uvuli chini yake, na ndege wa angani walikaa katika matawi yake; kila kitu chenye mwili kilipata chakula kwake.

Kusoma sura kamili Dan. 4

Mtazamo Dan. 4:12 katika mazingira