Dan. 4:14 SUV

14 Akapaza sauti yake, akasema, Ukateni mti huu, yafyekeni matawi yake, yapukusieni mbali majani yake, na kuyatawanya matunda yake, wanyama na waondoke hapo chini yake, na ndege katika matawi yake.

Kusoma sura kamili Dan. 4

Mtazamo Dan. 4:14 katika mazingira