3 Ishara zake ni kubwa kama nini! Na maajabu yake yana uweza kama nini! Ufalme wake ni ufalme wa milele; na mamlaka yake ni ya kizazi hata kizazi.
Kusoma sura kamili Dan. 4
Mtazamo Dan. 4:3 katika mazingira