Dan. 4:31 SUV

31 Hata neno lile lilipokuwa katika kinywa cha mfalme, sauti ilikuja kutoka mbinguni, ikisema, Ee mfalme Nebukadreza, maneno haya unaambiwa wewe; Ufalme huu umeondoka kwako.

Kusoma sura kamili Dan. 4

Mtazamo Dan. 4:31 katika mazingira