Dan. 5:20 SUV

20 Lakini moyo wake ulipoinuliwa, na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi, aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi, nao wakamwondolea utukufu wake.

Kusoma sura kamili Dan. 5

Mtazamo Dan. 5:20 katika mazingira