Dan. 5:3 SUV

3 Basi wakavileta vile vyombo vya dhahabu, vilivyotolewa katika hekalu la nyumba ya Mungu lililokuwako Yerusalemu; na mfalme na wakuu wake, na wake zake, na masuria wake, wakavinywea.

Kusoma sura kamili Dan. 5

Mtazamo Dan. 5:3 katika mazingira