Dan. 5:5 SUV

5 Saa iyo hiyo vikatokea vidole vya mkono wa mwanadamu, vikaandika katika chokaa ya ukuta wa nyumba ya enzi ya mfalme, mahali palipokikabili kinara; naye mfalme akakiona kitanga cha ule mkono ulioandika.

Kusoma sura kamili Dan. 5

Mtazamo Dan. 5:5 katika mazingira