Dan. 6:13 SUV

13 Basi wakajibu, wakasema mbele ya mfalme, Yule Danieli, aliye mmoja wa wana wa wale waliohamishwa wa Yuda, hakujali wewe, Ee mfalme, wala ile marufuku uliyoitia sahihi, bali aomba dua mara tatu kila siku.

Kusoma sura kamili Dan. 6

Mtazamo Dan. 6:13 katika mazingira