Dan. 7:10 SUV

10 Mto kama wa moto ukatoka ukapita mbele zake; maelfu elfu wakamtumikia, na elfu kumi mara elfu kumi wakasimama mbele zake; hukumu ikawekwa, na vitabu vikafunuliwa.

Kusoma sura kamili Dan. 7

Mtazamo Dan. 7:10 katika mazingira