Dan. 7:23 SUV

23 Akanena hivi, Huyo mnyama wa nne atakuwa ni ufalme wa nne juu ya dunia, utakaokuwa mbali na falme zile zote, nao utakula dunia yote, na kuikanyaga, na kuivunja vipande vipande.

Kusoma sura kamili Dan. 7

Mtazamo Dan. 7:23 katika mazingira