Dan. 7:5 SUV

5 Na tazama, mnyama mwingine, wa pili, kama dubu, naye aliinuliwa upande mmoja, na mifupa mitatu ya mbavu ilikuwamo kinywani mwake katika meno yake; wakamwambia mnyama huyo hivi, Inuka, ule nyama tele.

Kusoma sura kamili Dan. 7

Mtazamo Dan. 7:5 katika mazingira