Dan. 8:1 SUV

1 Katika mwaka wa tatu wa kumiliki kwake mfalme Belshaza maono yalinitokea mimi, naam, mimi Danieli, baada ya hayo yaliyonitokea hapo kwanza.

Kusoma sura kamili Dan. 8

Mtazamo Dan. 8:1 katika mazingira