Dan. 8:12 SUV

12 Na jeshi likatolewa kwake pamoja na sadaka ya kuteketezwa ya daima, kwa sababu ya makosa; nayo ikaiangusha kweli hata chini; ikatenda ilivyopenda, na kufanikiwa.

Kusoma sura kamili Dan. 8

Mtazamo Dan. 8:12 katika mazingira