Dan. 8:15 SUV

15 Ikawa mimi, naam, mimi Danieli, nilipoyaona maono hayo, nalitafuta kuyafahamu, na tazama, alisimama mbele yangu mmoja mfano wa mwanadamu.

Kusoma sura kamili Dan. 8

Mtazamo Dan. 8:15 katika mazingira