Dan. 8:17 SUV

17 Basi alipakaribia mahali niliposimama; nami naliogopa alipokaribia, nikaanguka kifudifudi; lakini aliniambia, Fahamu, Ee mwanadamu, kwa maana maono haya ni ya wakati wa mwisho.

Kusoma sura kamili Dan. 8

Mtazamo Dan. 8:17 katika mazingira