Dan. 8:8 SUV

8 Na yule beberu akajitukuza sana; na alipokuwa na nguvu, pembe ile kubwa ilivunjika; na badala yake zikazuka pembe nne mashuhuri zilizoelekea pepo nne za mbinguni.

Kusoma sura kamili Dan. 8

Mtazamo Dan. 8:8 katika mazingira