Dan. 9:4 SUV

4 Nikamwomba BWANA, Mungu wangu, nikaungama, nikasema, Ee Bwana, Mungu mkuu, mwenye kutisha, ashikaye maagano na rehema kwao wampendao, na kuzishika amri zake;

Kusoma sura kamili Dan. 9

Mtazamo Dan. 9:4 katika mazingira