Est. 2:1 SUV

1 Baada ya hayo, hasira yake mfalme Ahasuero ilipotulia, alimkumbuka Vashti, na vile alivyotenda, na yale yaliyoamriwa juu yake.

Kusoma sura kamili Est. 2

Mtazamo Est. 2:1 katika mazingira