Est. 2:14 SUV

14 Huenda jioni, na asubuhi hurudi nyumba ya pili ya wanawake, mikononi mwa Shaashgazi, msimamizi wake mfalme, mwenye kuwalinda masuria. Wala haingii tena kwa mfalme, isipokuwa amempendeza mfalme, naye akaitwa kwa jina.

Kusoma sura kamili Est. 2

Mtazamo Est. 2:14 katika mazingira