Est. 3:9 SUV

9 Basi, mfalme akiona vema, na iandikwe kwamba waangamizwe; nami nitalipa talanta kumi elfu za fedha mikononi mwao watakaosimamia shughuli hiyo, waziweke katika hazina ya mfalme.

Kusoma sura kamili Est. 3

Mtazamo Est. 3:9 katika mazingira