Est. 4:1 SUV

1 Basi Mordeikai alipojua mambo yote yaliyofanyika, alizirarua nguo zake, akajivika gunia pamoja na majivu, akatoka hata kufika katikati ya mji, akalia kwa sauti kuu ya uchungu.

Kusoma sura kamili Est. 4

Mtazamo Est. 4:1 katika mazingira