13 Naye Mordekai akawaagiza wampelekee Esta jibu la kusema, Wewe usijidhanie kuwa wewe utaokoka nyumbani mwa mfalme, zaidi ya Wayahudi wote.
Kusoma sura kamili Est. 4
Mtazamo Est. 4:13 katika mazingira