Est. 5:11 SUV

11 Naye Hamani akawasimulia habari za fahari ya mali zake, na wingi wa watoto wake, nayo mambo yote pia ambayo mfalme amemfanikisha katika hayo, na jinsi alivyompandisha juu ya maakida na watumishi wa mfalme.

Kusoma sura kamili Est. 5

Mtazamo Est. 5:11 katika mazingira