Est. 7:2 SUV

2 Mfalme akamwambia Esta tena siku ya pili pale pale penye karamu ya divai, Malkia Esta, dua yako ni nini? Nawe utapewa; na haja yako ni nini? Hata nusu ya ufalme utafanyiziwa.

Kusoma sura kamili Est. 7

Mtazamo Est. 7:2 katika mazingira