Est. 8:3 SUV

3 Tena Esta akasema na mfalme mara ya pili, akaanguka miguuni pake, akamsihi kwa machozi ayaondoe madhara ya Hamani, Mwagagi, na shauri alilowafanyia Wayahudi.

Kusoma sura kamili Est. 8

Mtazamo Est. 8:3 katika mazingira