Est. 9:2 SUV

2 siku ile ile Wayahudi wakakusanyika mijini mwao katika majimbo yote ya mfalme Ahasuero ili kuwatia mikono wale watu waliowatakia hasara; wala asiweze mtu kuwazuia, kwa kuwa hofu yao imewaangukia watu wote.

Kusoma sura kamili Est. 9

Mtazamo Est. 9:2 katika mazingira