Est. 9:24 SUV

24 kwa sababu Hamani bin Hamedatha, Mwagagi, adui ya Wayahudi wote, alikuwa amefanya shauri juu ya Wayahudi ili kuwaangamiza, akapiga Puri, yaani kura, ili kuwakomesha na kuwaangamiza pia;

Kusoma sura kamili Est. 9

Mtazamo Est. 9:24 katika mazingira