Est. 9:31 SUV

31 ili kuzithibitisha siku hizo za Purimu kwa majira yake, kama Mordekai Myahudi na malkia Esta walivyoamuru, na kama walivyojiagizia juu yao wenyewe, na juu ya wazao wao, kwa habari ya kufunga na kilio.

Kusoma sura kamili Est. 9

Mtazamo Est. 9:31 katika mazingira