Hag. 1:2 SUV

2 BWANA wa majeshi asema hivi, ya kwamba, Watu hawa husema, Huu sio wakati utupasao kuja, huu sio wakati wa kujenga nyumba ya BWANA.

Kusoma sura kamili Hag. 1

Mtazamo Hag. 1:2 katika mazingira