Hos. 10:1 SUV

1 Israeli ni mzabibu, utoao matunda yake; kwa kadiri ya wingi wa matunda yake, kwa kadiri iyo hiyo ameongeza madhabahu zake; kwa kadiri ya wema wa nchi yake, kwa kadiri iyo hiyo wamefanya nguzo nzuri.

Kusoma sura kamili Hos. 10

Mtazamo Hos. 10:1 katika mazingira