Hos. 10:12 SUV

12 Jipandieni katika haki, vuneni kwa fadhili; uchimbueni udongo wa mashamba yenu, kwa maana wakati umewadia wa kumtafuta BWANA, hata atakapokuja na kuwanyeshea haki.

Kusoma sura kamili Hos. 10

Mtazamo Hos. 10:12 katika mazingira