Hos. 10:14 SUV

14 Kwa sababu hiyo fitina itatokea kati ya watu wako, na ngome zako zote zitaharibiwa, kama vile Shalmani alivyoharibu Betharbeli, katika siku ya vita; mama akavunjika-vunjika pamoja na watoto wake.

Kusoma sura kamili Hos. 10

Mtazamo Hos. 10:14 katika mazingira