Hos. 10:4 SUV

4 Hunena maneno yasiyo na maana; huapa kwa uongo wafanyapo maagano; basi ndipo hukumu huchipuka kama mbaruti katika matuta ya shamba.

Kusoma sura kamili Hos. 10

Mtazamo Hos. 10:4 katika mazingira