Hos. 12:1 SUV

1 Efraimu hujilisha upepo, na kuandamana na upepo wa mashariki; haachi kuongeza uongo na uharibifu; nao wafanya agano na Ashuru, na mafuta huchukuliwa kwenda Misri.

Kusoma sura kamili Hos. 12

Mtazamo Hos. 12:1 katika mazingira