Hos. 12:8 SUV

8 Naye Efraimu alisema, Kweli nimekuwa tajiri, nimejipatia mali nyingi; katika kazi zangu zote hawataona kwangu uovu wo wote uliokuwa dhambi.

Kusoma sura kamili Hos. 12

Mtazamo Hos. 12:8 katika mazingira