Hos. 2:13 SUV

13 Nami nitamwadhibu kwa sababu ya siku za Mabaali, aliowafukizia uvumba; hapo alipojipamba kwa pete masikioni mwake, na kwa vito asema BWANA.

Kusoma sura kamili Hos. 2

Mtazamo Hos. 2:13 katika mazingira