Hos. 2:18 SUV

18 Nami siku hiyo nitafanya agano na wanyama wa mashamba kwa ajili yao, tena na ndege wa angani, tena na wadudu wa nchi; nami nitavivunja upinde na upanga na silaha vitoke katika nchi, nami nitawalalisha salama salimini.

Kusoma sura kamili Hos. 2

Mtazamo Hos. 2:18 katika mazingira