Hos. 3:3 SUV

3 nami nilimwambia, Utatawa kwa ajili yangu siku nyingi; hutafanya mambo ya ukahaba, wala hutakuwa mke wa mtu awaye yote; nami nitakuwa hali iyo hiyo kwa ajili yako.

Kusoma sura kamili Hos. 3

Mtazamo Hos. 3:3 katika mazingira