Hos. 4:3 SUV

3 Kwa ajili ya hayo nchi itaomboleza, na kila mtu akaaye ndani yake atadhoofika, pamoja na wanyama wa kondeni na ndege wa angani; naam, samaki wa baharini pia wataondolewa.

Kusoma sura kamili Hos. 4

Mtazamo Hos. 4:3 katika mazingira