Hos. 7:6 SUV

6 Maana wamefanya moyo wao kuwa tayari kama tanuu, wakati waoteapo; hasira yao hulala usiku kucha; asubuhi yawaka kama moto utoao miali.

Kusoma sura kamili Hos. 7

Mtazamo Hos. 7:6 katika mazingira