1 Usifurahi, Israeli, kwa sababu ya furaha, kama hao mataifa; kwa kuwa umezini juu ya Mungu wako, umependa ujira katika kila sakafu ya nafaka.
Kusoma sura kamili Hos. 9
Mtazamo Hos. 9:1 katika mazingira