Hos. 9:16 SUV

16 Efraimu amepigwa; mzizi wao umekauka; hawatazaa matunda; naam, wajapozaa, nitaliua tunda la tumbo lipendwalo sana.

Kusoma sura kamili Hos. 9

Mtazamo Hos. 9:16 katika mazingira