Mal. 2:4 SUV

4 Nanyi mtajua ya kuwa mimi nimewapelekeeni amri hii, ili agano langu liwe na Lawi, asema BWANA wa majeshi.

Kusoma sura kamili Mal. 2

Mtazamo Mal. 2:4 katika mazingira